Kafiti FoundationKAFITIFOUNDATIONPartner with us

KAFITI KITAA TALENT SEARCH

Onyesha kipaji chako.

Jiunge na mashindano ya vipaji ya Kafiti Foundation. Fomu ni bure na unaweza kuchagua zaidi ya kipaji kimoja.

Jaza fomu ya usajili
Kafiti Foundation

Jiandae kujaza fomu

Utajaza jina, jinsia, hali ya ndoa, umri, simu ya WhatsApp, kata na mtaa wa Ilemela, kiwango cha elimu na vipaji unavyoshiriki.

Picha yako na ridhaa ya kutumia taarifa kwa zoezi hili ni lazima. Kwa msaada, piga 0765 216 357.

Baada ya kujisajili

Hifadhi namba ya usajili utakayopewa. Timu ya Kafiti Foundation itapitia taarifa zako na kuwasiliana nawe kuhusu zoezi hili.

Anza usajili

BUILD A BETTER FUTURE WITH US

Small steps.
Lasting possibilities.

Let’s work together